Plot4Sale Eneo la hekari mbili linauzwa, lipo kijiji cha Cheta

pc20

Member
Joined
May 28, 2016
Posts
24
Reaction score
10
Eneo la hekari 2 lipo kijiji cha Cheta, kata ya Kazole wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani, ni 8km kutokea Vikindu getini kwenye barabara ya rami linauzwa kwa Tsh. 10millions kila hekari moja.
kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kununua eneo hili basi tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
 
mwanangu mkoa wa pwani imefikia 10,000,000 si kilwa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…