Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania ,
Rasimu ya Katiba Ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. 2013.
Sura ya Kwanza
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sehemu ya Kwanza . Mipaka,Alama,Lugha,Utamaduni na Tunu za Taifa.
2. Eneo la Jamuhuri ya Muungano ni eneo lote la Tanzania Bara ikijumuisha sehemu yake ya Bahari na Eneo lote la Zanzibar ikijumuisha sehemu yake ya bahari. (Mwisho wa Kunukuu).
Hoja yangu ni kama ifuatavyo;
1.Je Sehemu nyingine zilizo na Maji yaani ,Maziwa(rivers) na Maziwa(lakes), sio sehemu ya Jamuhuri ya Muungano.
2.Au ukitaja neno "Bahari" inajumuisha Maeneo Yote hayo ya Mito na Maziwa.?
3.Au Jambo hili linapaswa kutajwa kwnye sheria Nyingine na Si Kwenye Katiba.?
4.Au jambo hili limesahaulika.?