Eneo la jiko linapangishwa

Eneo la jiko linapangishwa

Ms Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
2,452
Reaction score
4,955
Habari waungwana. Eneo la jiko linapangishwa maeneo ya Sinza. Kwa taarifa zaidi nicheki inbox. Asante
 
Habari waungwana. Eneo la jiko linapangishwa maeneo ya Sinza. Kwa taarifa zaidi nicheki inbox. Asante
Japo siitaji jiko, ila ungeandika uzi vizuri kwa anayehitaji akija inbox mnaongea kidg.

Sinza ipi,
Na ni maeneo yapi, kuna bar au vp?
Ungeweka hata price ya mwezi,

Umekuja ki dalali sana,
 
Japo siitaji jiko, ila ungeandika uzi vizuri kwa anayehitaji akija inbox mnaongea kidg.

Sinza ipi,
Na ni maeneo yapi, kuna bar au vp?
Ungeweka hata price ya mwezi,

Umekuja ki dalali sana,
Shida ni udalali au shida ni jiko. Ebu acheni ujuaji. Sio kila kitu lazima ujibi ukiona huna uwezo nalo unapita kama kipofu
 
Back
Top Bottom