Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari wakuu
Ni wazi eneo la kiungo la simba lina shida kubwa hasa namba6 ambayo kwa msimu huu anacheza zaidi Mkude kutokana na TL kupata majeraha,japo amerejea ila hana match fitness ya kupambana na game tough
Mashabiki wenzangu wengi wa simba wanamkubali sana wajina wangu JONAS MKUDE ila lazima tukubali hatoshi kabisa linapokuja issue ya game nzito
Hapa tunaweza jitahidi kushinda hata 3 kutokana na maandalizi yetu, ila tukienda kule tutakufa hata5 kutokana na kukosa solid team hasa eneo la katikati huwa linapotea lote.
Wapinzani wakiwa wana mpira dakika1 tu wanakua washafika golini kwetu.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app