Eneo la kiungo Simba ni tatizo,Haiwezi kuwatoa Orlando

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Ni wazi eneo la kiungo la simba lina shida kubwa hasa namba6 ambayo kwa msimu huu anacheza zaidi Mkude kutokana na TL kupata majeraha,japo amerejea ila hana match fitness ya kupambana na game tough

Mashabiki wenzangu wengi wa simba wanamkubali sana wajina wangu JONAS MKUDE ila lazima tukubali hatoshi kabisa linapokuja issue ya game nzito

Hapa tunaweza jitahidi kushinda hata 3 kutokana na maandalizi yetu, ila tukienda kule tutakufa hata5 kutokana na kukosa solid team hasa eneo la katikati huwa linapotea lote.

Wapinzani wakiwa wana mpira dakika1 tu wanakua washafika golini kwetu.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kuna ukweli ndani yake.
Benchi la ufundi watarekebisha na tutashinda.
 

Sasa kama viungo ndio hao hao watakaocheza away ndio hao hao waliyoipa Simba goli tatu kwa Mkapa kwanini huko away wasicheze kama walivyokuwa home? Au inayocheza home na away ni wachezaji wenye uwezo tofauti? Hapa kwenye maandalizi pia kwanini maandalizi yanayowezesha kupatikana goli tatu hime zikaamishwa na away! Au ni maandalizi ya aina gani unayozungumzia?
 
Uko sahihi Mkuu- Yaani angalau Yule Mtoto Kanote asingekuwa na kadi, kidogo huwa anasaidia kuziba mapungufu ya Mkude, dogo huwa ni mtibuaji mzuri, na karibu kila eneo anafika, akianza Mzamiru tu, itakuwa shida kubwa Sana.
Yani hatuna kabisa mtaji eneo la kiungo cha ukabaji

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Soka letu la afrika mkuu lina maandalizi ya ziada

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Babu mtata wa mzee wa MSga wa mlingotini mpaka jana jioni kaziona goli nne Simba 4 - 0 Maharamia wa sauzi.
 
Sio kiungo tu, timu yote ni tatizo kuanzia beki mpaka forward, uafadhali uko golini tu
 

Sawa Jonas, taratibu utasema mpaka jina la ukoo kwa ajili ya kushabikia makolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…