Plot4Sale Eneo la kujenga depot ya mafuta linauzwa Kigamboni

NANGAI MSUMI

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
146
Reaction score
94
KIGAMBONI CITY GROUP

NA TANLANDS REAL ESTATE

WANAUZA ENEO LA KIWANJA CHA KUJENGA GHALA LA KUHIFADHIA MAFUTA (DEPOT)

VIJIBWENI - KIGAMBONI

[emoji3591]BEI NI DOLA
[emoji3591]MILIONI 2

ENEO HILO LA KIWANJA CHA KUJENGA DEPOT LINATAZAMANA (OPPOSITE) NA DEPOT YA LAKE OIL, AFROIL NA WORLD OIL.

UKUBWA WA ENEO LA KIWANJA NI HEKARI MBILI NA ROBO.

ENEO HILO LA KIWANJA LINAMILIKIWA KISHERIA (LEGAL OWNERSHIP) NA LINA HATI KUTOKA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI.

KWA MAELEZO ZAIDI:
TUPIGIE SIMU NO;


[emoji3591]0652180400
[emoji3591]0686048511

 
Haifiki bilion 5. Itakuwa kwenye bilion 4 na million mia 600.
 
Kuna eneo lingine pia LINAUZWA Dollar million mbili. Lakin izo Ekali 6 plus. Lipo karibu na Bahar. Eneo n Industrial Area. Mazungumzo yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…