Dalali_wa_kimataifa Senior Member Joined Apr 16, 2025 Posts 182 Reaction score 176 Jun 30, 2025 #1 Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini. Bei ni Tsh. Milioni 250 Call/WhatsApp +255758844717 Your browser is not able to display this video.
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini. Bei ni Tsh. Milioni 250 Call/WhatsApp +255758844717 Your browser is not able to display this video.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,682 Reaction score 41,162 Jun 30, 2025 #2 Kwa 50m napata shamba hapo Dodoma kama hilo na kutimia 10k kubadili matumizi likapimwa likawa la shule. Bora ufungue shule uuze shule kamili sio eneo.
Kwa 50m napata shamba hapo Dodoma kama hilo na kutimia 10k kubadili matumizi likapimwa likawa la shule. Bora ufungue shule uuze shule kamili sio eneo.