dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Kwa ofisi njoo tuingie mkataba ujenge floor 3 juu ya jengo lipo mtaa wa uhindini karibu na nyerere squareEneo liwe katikati ya mjini hapo Dodoma, kwa ajili ya kujenga supermarket na maofic
Eneo liwe kuanzia 1000sqm na kuendelea
Ofa tunasikiliza kwa muuzaji
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa
0756060183
Kwa pamoja tuijenge Makao makuu ya Nchi
Tuuzie kabisa mkuu hatuhiji mkataba wa aina hiyoKwa ofisi njoo tuingie mkataba ujenge floor 3 juu ya jengo lipo mtaa wa uhindini karibu na nyerere square
Ndio tujenge supermarket nje ya mji?Mkuu lipo eneo lkn nje ya mji
Ndio tujenge supermarket nje ya mji?
Sawa mkuu! Kwa sasa tu ahitaji hapo mjiniHapana,hilo eneo ni stahiki kabisa kwa ujenzi wa kituo cha mafuta(petrol station)
Mkuu nipe no yako nikupigie tuongee hili zaidiKwa ofisi njoo tuingie mkataba ujenge floor 3 juu ya jengo lipo mtaa wa uhindini karibu na nyerere square
Mkuu hii nshu bado ipo?Kwa ofisi njoo tuingie mkataba ujenge floor 3 juu ya jengo lipo mtaa wa uhindini karibu na nyerere square