Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu .
Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi yameongezeka lakn Tanesco hawajabadili transforma, umeme ni mdogo hata friji na pampu za maji haziwaki, tunaomba Tanesco ofisi ya gongo la Mboto hatua za haraka kutatua tatizo hili.
Ahsante.