Erick kg
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 314
- 71
- Umbali ni 5 km kutoka kituoni barabarani ya lami (Taliano bus stand)
-Eneo ni Tambarale
-Jumla ya Ukubwa wa Eneo ni Heka 4 ndani yake kuna viwanja vitano ambavyo vimepimwa vyenye ukubwa wa 3300 square meters, 3265 square meters, 2181 square meters, 1392 square meters, 1232 square meters.
- Eneo lina nyumba kubwa lenye Vyumba 3 na sitting room na jiko (limejengwa kwa thamani ya 30M)
-Kuna Mabanda Makubwa 5 (Yalijengwa kwa thamani ya 50M)
-Kisima chenye maji masaa 24 ( Kisima cha futi 80 kilijengwa kwa 5M)
- Tank la maji la lita 5,000 ( kimenunuliwa kwa 1M)
-Tower la kubebea Tank la maji ( limejengwa kwa 2M)
-Kuna Vyoo 2 na Bafu 2.
- Kuna chumba kingine self contained( choo chake ndani) na Chumba peke yake kinajitegemea.
- Eneo limezungushiwa na uzio wa Waya (Chain link fence)
-Eneo lina solar yenye 800 watts kwaajili ya ku pump maji na Matumizi ya mwanga.
- UMEME unawekwa mwezi wa 8.
-ENEO limepimwa na nyaraka zote zipo.
-MATUMIZI ya eneo ni Makazi, Biashara na Kiwanda. Mfano: UFUGAJI, SHULE, KIWANDA, GO DOWN n.k
Namba : 0717 022737