Plot4Sale Eneo la utalii linauzwa Ruaha

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,572
Reaction score
2,286
Eneo hilo kwaajili ya kujenga hotel au camp site, lipo pembezoni mwa hifadhi ya ruaha national park, barabara imechongwa mpaka hapo kwenye eneo.

Eneo limepimwa na hati ipo, ukubwa ni ekari 50, na wanayama wanafika mpaka hapo vizuri.....

Bei ya kawaida sana 130,000,000/=

Call 0625640867 fasta

 
Lipo upande gani? Idodi, au Kule karibu na madibila?
 
Dah, kufulia huku. Ningekuwa na hela ningenunua. Lipo km ngapi kutoka Iringa mjini?
 
Utalii ushajifia mpaka hapo Baadae! Ngumu sana kuwekeza kwenye utalii kwa sasa!
 
Kamuulize waziri wa utalii

No one, not even a minister can predict tourism business! Return ya tourism kwa sasa is unpredictable, kwa hiyo mtu wa kununua hapa ni mtu mwenye malengo ya miaka Labda 10 kutoka sasa, lakini return ya haraka, utachora chini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…