Plot4Sale Eneo la uwekezaji linauzwa mkoa wa Morogoro

Plot4Sale Eneo la uwekezaji linauzwa mkoa wa Morogoro

Suleiman Mfua

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
62
Reaction score
64
KARIBU KATIKA FURSA YA KUMILIKI ARDHI KWA AJILI UWEKEZAJI WA VIWANDA NA BIASHARA MKOA WA MOROGORO

Eneo la uwekezaji kwa ajili ya Viwanda na biashara linauzwa wilaya ya Morogoro Mkoa wa Morogoro "Kanda ya Kati"

Eneo hili lipo takriban 15Km kutoka Morogoro Mjini kuelekea Mkoa wa Dodoma na linatizama Barabara kuu ya Morogoro/Dodoma.

Eneo linafaa kwa uwekezaji wa Viwanda, Kituo cha Mafuta, Hotel, Godowns n.k

Eneo limepimwa na kupatiwa Hati (Title deed) na lina ukubwa wa SQM-28,000.
Eneo lote ni tambarale na limeacha zaidi 50mt kutoka hifadhi ya barabara.

Bei ya Eneo hili lote ni USD-450,000.
Na majadiliano ya Bei yanakaribishwa Kwa aliye tayari.

Pia kwa anayehitaji kuwekeza kwa makubaliano maalum na mmiliki anakaribishwa.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia:
Call & whatsapp:-
+255685894151
+255713660746

IMG-20200124-WA0175.jpeg
IMG-20200124-WA0165.jpeg
IMG-20200124-WA0177.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom