Hafla ya uzinduzi wa Eneo la Viwanda la Huawei imefanyika jana jumanne wiki hii katika mji mkuu wa Angola, Luanda, na kuhudhuriwa na rais wa nchi hiyo, João Lourenço.
Kwenye hafla hiyo, Angola na kampuni ya Huawei zilisaini makubaliano kuhusu kuwaandaa watu wenye ujuzi wa kidigitali. Kutokana na makubaliano hayo, Chuo cha Teknolojia ya TEHAMA (ICT) cha Huawei kitatoa mafunzo kwa wanafunzi zaidi ya elfu kumi ndani ya miaka 5.