radhiya JF-Expert Member Joined Aug 19, 2015 Posts 708 Reaction score 501 Jul 22, 2026 #1 Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Leseni ya Makazi. Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi. Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807 @prathrealestate
Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Leseni ya Makazi. Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi. Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807 @prathrealestate
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,438 Reaction score 15,674 Jul 22, 2026 #2 Jamaa anayejenga nyumba za kufanana Msisiri na misufini hajapaona hapa! Hata hivyo hapo ni pazuri pako barabarani sana
Jamaa anayejenga nyumba za kufanana Msisiri na misufini hajapaona hapa! Hata hivyo hapo ni pazuri pako barabarani sana