Kambangwa hapo bondeni karibu na maji kujaa,Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa.
Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa.
Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni.
Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 326.
Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Leseni ya Makazi.
Kwa maelezo zaidi na kuweza kuona wasiliana nasi.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
View attachment 3662631
Kambangwa hapo bondeni karibu na maji kujaa,
Yaani waswahili sijui wamekuwaje, hapo Ni Mil 3 Tu, Kiwanja cha 15Mx20M, si zaidi ya 10 M kwa kuwa kiko jijini300M kwa eneo hilo? Thubutuuu
Sawa, kwa kukujuza tu wanunuaji wa hizo bei ulizotaja ni vijana na si wazee kama ulivyofikiri.Tupige hesabu ya abunuwasi mteja una 40+age,unanunua eneo 300m,unabomoa na kutoa uchafu 5m+,unajenga hotel au lodge 700m+ hadi inaisha una miaka 45+,unaanza kurudisha visent ukifika miaka 60 nisawa kama eneo umelitumia kwa miaka 15 na hela haijarudi nawewe magonjwa na kifo chaanza kukuwinda mwisho unaacha watu waliuze tu (NAWAUNGA MKONO WANAOSEMA kununua kiwanja kwa 100m+,500m,1b ni utakatishaji hasa ukitazama umri wa wanunuaji na umri wakuishi duniani ukiwa na afya na kupata faida ya eneo ilo au jengo ilo)