pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Eneo lenye ukubwa wa square meter 10,000 lipo karibu na ziwa yaani ukisimama kiwanjan una view eneo la ziwa kwa uzuri zaidi lina nyumba ndani yake kama tatu mawe ya kutosha kwa ujenzi na kwa kuuza pia Eneo lipo Luchelele ziwani maeneo ya shadi kiwanja kimepimwa na kina documents zote halali waweza kujenga nyumba za kitalii au pia kujenga nyumba ya kuishi na kuweka miradi mbali mbali kama ufagaji bei ya eneo lote pamoja na nyumba zote ni milion 40 tu kwa mawasiliano zaidi tafadhali Whatsapp or call 0763772636