eneo linakodisha kwa biashara

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari

nina eneo dogo nalikodisha kwa mtu anayetaka kufanya biashara yake hasa ya kufyatulia matofali au kuuza vitu au vifaa vya ujenzi liko mbagala mbande - chamanzi kama mtu anahitaji kukodi na kufanya biashara nilizozitaja hapo karibu niPM KWA Biashara zaidi

pale panafaa biashara ya aina hizo kwani watu kule wanajenga wengi mno na upatikanaji wa vifaa hakuna wala upatikanaji wa matofali ni mdogo sana


karibuni kwa biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…