ENEO LINAUZWAEneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini?
Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa heka 3 ndio unapewa kibali,sijui kwa sasa hivi.Eneo ukubwa gani linakubalika kwa mjibu wa sheria za sera ya elimu Tanzania kujenga shule ya sekondari jijini, mjini na vijijini?
hapo ni kwa ndani ya halmashauri ya jiji au mji, nje ya mji au jiji ni ekari 7Nakumbuka mara ya mwisho ilikuwa heka 3 ndio unapewa kibali,sijui kwa sasa hivi.
Okay sawa, nilifatilia kwa DSM.hapo ni kwa ndani ya halmashauri ya jiji au mji, nje ya mji au jiji ni ekari 7