Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Usijali bro Mungu atampa Tuzo nyingine za uteuziDah! Babe wangu SweetyCandy angekuwa ni Mbunge wa viti maalum anayemaliza muda wake, ningemshauru tununue hiki kiwanja kwa hela zake za mafao halafu tunajenga nyumba ya kuishi. Ila sasa ndiyo hivyo tena....🚶🚶