Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Hati ni ya serikali ya mtaa? unajua maana ya neno hati?Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.
Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.
Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.
Mmiliki wa tatu anauza milion 400
Huyu hapunguzi maana eneo lake ni kubwa Zaidi ya wenzie.
Kwahiyo ukichukuwa Kwa pamoja unapata HEKA MOJA.
Maeneo yote ni ya wamiliki halali hakuna mgogoro wa Aina yoyote Ile.
Hati ni serikali ya MTAA.
NIPIGIE SIMU NIKUPELEKE 0754693556.
Ana manisha nyaraka za awali za vielelezo kama hati za mauzino n.k.Tangu lini Serikali ya Mtaa ikatoa HATI??acha UTAPELI
Serikali ya Mtaa ina Kamati ya Ardhi na hii inatambua wakaazi wake na miliki zaoSio hati ila mi kielelezo tosha cha kuonyesha ni eneo lako. Serikali ya kijiji ilisimamia badala ya serikali kuu. Ila kusheria sio hati.
Ukishakuwa mnunuaji unaensa far ahead. Utataka kufika hadi halmashauri kwa maelezo zaidiMteja atoe Zaid y milioni 700 kwa kalatasi la mwenyekiti wa mtaa? Kweli
KAZI ni kipimo cha utu
-Lakini kisheria Job description ya mtendaji wa mtaa hana mamlaka ya kushidia mkataba wowote, wenye mamlaka hayo ni Wakili/Hakimu.Ana manisha nyaraka za awali za vielelezo kama hati za mauzino n.k.
Hivi huwa vinatambulika linapokuja swala la mgogoro. Heshimu mamlaka
-Sure mambo ya Landuse planning Use group and use class.Ukishakuwa mnunuaji unaensa far ahead. Utataka kufika hadi halmashauri kwa maelezo zaidi
- inahitajika very intensive and professional due diligent, nn kwenye kufanya investigation of title Ili kuepuka pitfall of transfer like double allocation, mipango miji,hifadhi ya barabara, migogoro ya umiliki.Mteja atoe Zaid y milioni 700 kwa kalatasi la mwenyekiti wa mtaa? Kweli
KAZI ni kipimo cha utu
OkEneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.
Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.
Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.
Mmiliki wa tatu anauza milion 400
Huyu hapunguzi maana eneo lake ni kubwa Zaidi ya wenzie.
Kwahiyo ukichukuwa Kwa pamoja unapata HEKA MOJA.
Maeneo yote ni ya wamiliki halali hakuna mgogoro wa Aina yoyote Ile.
Hati ni serikali ya MTAA.
NIPIGIE SIMU NIKUPELEKE 0754693556.
Sasa mbona mnamsaidia kujibu na yeye yuko kimya pasipo kutoa ufafanuzi.Ana manisha nyaraka za awali za vielelezo kama hati za mauzino n.k.
Hivi huwa vinatambulika linapokuja swala la mgogoro. Heshimu mamlaka
Kaka dalali mbona ujaweka ukubwa wa viwanja?Eneo linauzwa Bunju A
Bagamoyo road.
Eneo linatazama barabara kuu ya Lami.
Wamiliki WA eneo wapo watatu.
Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja.
Mmiliki mmoja anauza milion 300
Mmiliki wa pili anauza milion 300
Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana.
Mmiliki wa tatu anauza milion 400
Huyu hapunguzi maana eneo lake ni kubwa Zaidi ya wenzie.
Kwahiyo ukichukuwa Kwa pamoja unapata HEKA MOJA.
Maeneo yote ni ya wamiliki halali hakuna mgogoro wa Aina yoyote Ile.
Hati ni serikali ya MTAA.
NIPIGIE SIMU NIKUPELEKE 0754693556.
Tunajaribu kushare kile tunachofahamuSasa mbona mnamsaidia kujibu na yeye yuko kimya pasipo kutoa ufafanuzi.