Enwo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibu sana .. 0785657273 mawasiliano.. bei ni 21,000,000/acre..
kama kiwanja cha 20x20 ni milioni 7.. ambapo ni sqm 400.. je sqm 4900 itakuwa bei Gani ?? jitambue kabla hujamuita mtu mwizi mkuu.. ni busara kuuliza kuliko kuhitimisha.. karibu