Kwanini ununue eneo lililotengwa kwa ajili ya shule, sehemu za wazi, makaburi, barabara, hospitali na sehemu nyinginezo ambazo hupaswi kujenga au kuendeleza? Je unamiliki eneo ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) liko sehemu gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue kama uko salama kuendeleza au laa. Usije kununua au kujenga kisha baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni nk.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.