Plot4Sale Eneo linauzwa Itezi Uyole

Plot4Sale Eneo linauzwa Itezi Uyole

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
1,793
Reaction score
1,919
habari ndugu wa jf.

nina eneo langu lipo Itez Uyole Mbeya karibu na reli,lina ukubwa wa 60x125mita naliuza kwa bei ya 23 milion.eneo halina hati ila lina documents zote zinazo support na kuonesha kama mmiliki ni mimi,pia kwa kujihakikishia kabla hujanunua tunapata kibari kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa.

NB eneo ni langu na halina udalali, maongezi ya bei yapo kidogo.

IMG-20211018-WA0004.jpg
View attachment 1978908
 
Back
Top Bottom