Plot4Sale ENEO LINAUZWA KISEMVULE KWA BEI YA OFA

William Mwita

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
96
Reaction score
74
Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200,

Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet

Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana

💲Bei ni million 10.5

📞Mawasiliano
Calls and sms 0748270719
Whatsapp 0715128827

Nitafute Whatsapp nikutumie video ya sehemu husika

NB: HAKUNA UDALALI MIMI NDIYE MUUZAJI WA ENEO NA DOCUMENTS ZOTE ZIPO.
 
ipo pwani
Weka tangazo lililojitosheleza upunguze maswali. Kwamba wewe unapajua Kisemvule basi sio kila anaepita humu JF atakua anapajua hivyo hivyo. Ukishindwa kuuza kwa haraka utaanza kuwaza kua una gundu kumbe wewe tu kupangilia maneno ukaeleweka huwezi.

Ukiwa Mapinga njia ya Bagamoyo ni mkoa wa Pwani tayari,

Ukiwa Kibaha njia ya Morogogoro ni mkoa wa Pwani tayari,

Ukiwa Kisarawe mbele ya Chanika huko ni mkoa wa Pwani tayari,

Ukiwa Vikindu barabara ya kwenda Lindi (Kilwa Road) nako ni mkoa wa Pwani tayari.
 
Umeiweka vizuri kiongozi,
Kisemvule ipo kilwa road njia hii ya kuja mkuranga
Karibu sana
 
Back
Top Bottom