William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 96
- 74
Ni Kisemvule Kuna kitongoji kinaitwa kibamba, karibu Sana kiongoziKisemvule Kibamba ndio wapi?
Kisemvule ipo wapi kwa Dar?Ni Kisemvule Kuna kitongoji kinaitwa kibamba, karibu Sana kiongozi
ipo pwaniKisemvule ipo wapi kwa Dar?
Weka tangazo lililojitosheleza upunguze maswali. Kwamba wewe unapajua Kisemvule basi sio kila anaepita humu JF atakua anapajua hivyo hivyo. Ukishindwa kuuza kwa haraka utaanza kuwaza kua una gundu kumbe wewe tu kupangilia maneno ukaeleweka huwezi.ipo pwani
Umeiweka vizuri kiongozi,Weka tangazo lililojitosheleza upunguze maswali. Kwamba wewe unapajua Kisemvule basi sio kila anaepita humu JF atakua anapajua hivyo hivyo. Ukishindwa kuuza kwa haraka utaanza kuwaza kua una gundu kumbe wewe tu kupangilia maneno ukaeleweka huwezi.
Ukiwa Mapinga njia ya Bagamoyo ni mkoa wa Pwani tayari,
Ukiwa Kibaha njia ya Morogogoro ni mkoa wa Pwani tayari,
Ukiwa Kisarawe mbele ya Chanika huko ni mkoa wa Pwani tayari,
Ukiwa Vikindu barabara ya kwenda Lindi (Kilwa Road) nako ni mkoa wa Pwani tayari.