Plot4Sale Eneo linauzwa Kisemvule

Plot4Sale Eneo linauzwa Kisemvule

William Mwita

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
96
Reaction score
74
Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200.

Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet.

Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana.

💲Bei ni million 10.5

📞Mawasiliano
Calls and sms 0748270719
Whatsapp 0715128827
 
Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200,

Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet

Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana

💲Bei ni million 10.5

📞Mawasiliano 0748270719
Kama kuna sehemu kuna migogoro ya ardhi kwa sasa inaongoza kisemvule hapo muuzaji na ofisi za kijiji/kata wote wezi na hata mahakama ya mkuranga hakuna kitu anayetaka kutupa pesa yake aende hapo binafsi nimepoteza 42.5ml kwa upuuzi wa watu hao huko hata nife na maeneo ya kuzikwa ndio huko haki nafufuka
 
Pole Sana ndugu yangu,
ila karibu na eneo hili naliuza ni langu mwenyewe na documents zote zipo ondoa shaka
 
Asante na nashukuru kama hoja yangu imeeleweka ebu fikiri mtu unanunua kiwanja unajenga nyumba na kisima unachimba uko kwenye hatua za mwisho anakuja mtu anasema kiwanja chake unapelekwa kata baada ya kusuluhisha na muuzaji yupo anaitwa Kumbuka zaid zame kesi inakwenda jamaa anafariki yanatolewa maamuzi ya kipuzi kabisa bado unaomba tena naomba ninunue kiwanja hikohiko kwa mtu anayedai chake bado anakomaa na wenye viti waliouza hawatoi ushirikiano hapo zaidi ya kuleta mabishano ya kipuuzi kwa hasira nikabomoa na kuacha pesa yangu imeteketea ebu jiulize ndio ingekuwa kiinua mgongo si nishakufa kwa muda huo ila nimeona nimuachie mungu muwezawa yote tu haikua riziki yangu
 
Nadhani utakuwa unamjua huyo mzee kumbuka said zame kuna kesi ngapi za viwanja pale kata vikindu ambazo wenyeviti wananenepa nazo pale pamoja na balaza lao ila hawatkuja kufanikiwa wao na vizazi vyao kwa kwel kwa kiuwapa watu stress na maladhi yasio na sababu
 
Daaaah pole sana kiongozi!! Na Asante kwa taarifa.Hii ni changamoto kubwa sana kwa maeneo usika.
Asante na nashukuru kama hoja yangu imeeleweka ebu fikiri mtu unanunua kiwanja unajenga nyumba na kisima unachimba uko kwenye hatua za mwisho anakuja mtu anasema kiwanja chake unapelekwa kata baada ya kusuluhisha na muuzaji yupo anaitwa Kumbuka zaid zame kesi inakwenda jamaa anafariki yanatolewa maamuzi ya kipuzi kabisa bado unaomba tena naomba ninunue kiwanja hikohiko kwa mtu anayedai chake bado anakomaa na wenye viti waliouza hawatoi ushirikiano hapo zaidi ya kuleta mabishano ya kipuuzi kwa hasira nikabomoa na kuacha pesa yangu imeteketea ebu jiulize ndio ingekuwa kiinua mgongo si nishakufa kwa muda huo ila nimeona nimuachie mungu muwezawa yote tu haikua riziki yangu
 
Nadhani utakuwa unamjua huyo mzee kumbuka said zame kuna kesi ngapi za viwanja pale kata vikindu ambazo wenyeviti wananenepa nazo pale pamoja na balaza lao ila hawatkuja kufanikiwa wao na vizazi vyao kwa kwel kwa kiuwapa watu stress na maladhi yasio na sababu
Wewe ni muongo.

Ulinunua kiwanja kwa njia za mikato ukataka kumpateli kijana anaitwa Zakaria Mathias alikua anajitafuta Tunduma.

Majirani walikuambiaga mtafute huyo kijana uthibitishe kama kweli alishauza eneo lake kwa mzee Kumbuka Zame, ukaamini maneno ya wazee wa serikali ya mtaa
 
Ukitoa maneno ya huyu jamaa.
Vp kuhusu utapele pande izo? Ikiwa nitafata njia sahihi?
Asante.
 
Uwe unaacha kielele ya vitu usivyofaham muda mwingine kukaa kimya sio ushamba mzee mimi sijawahi kufanya utapel wala kula cha mtu huyo unaemtaja simfahamu pia mauziano nimefanya na mtu mwengine tena kwa kujiridhisha toka ofisi ya kijiji na hata aliesema kiwanja ni chake sio huyo mumeo unaemtaja na wala sikusimama na huyo katika baraza la kata vikindu sawa pia huyo aliedai eneo lake kauziwa na mtu anaeitwa KUMBUKA SAID ZAME ambaye alifariki toka mwaka 2000 au 2001 kama sikosei ana undugu na SAID ZAME hayo ni maeneo yao ya kurithi jaribu kufatilia pia tukilud katika uchangiaji hapo nilikueleza kuwa hayo maeneo yana migogoro mingi ya ardhi na hao wenyevit ndio wanchangia hali hyo kutokea kwa sababu wanajuwa kuwa eneo hili limeuzwa labda kwa nn wanakubali kusimamia mauziano mengine?ila jitahid sana usiwe unachangia vitu ambavyo huvifaham inawezekana hata fagio la nyumban ulipohifadhiwa huwez nunua shenzi ww
 
Ukitoa maneno ya huyu jamaa.
Vp kuhusu utapele pande izo? Ikiwa nitafata njia sahihi?
Asante.
Safi kabisa ndugu yangu atoe majibu pia nashauli tunapotaka kununua sehem tufanye uchunguzi wa kutosha ili yusihalibu mipango binafsi mana tukikosea tunapoteza kila kitu asee
 
Wewe ni muongo.

Ulinunua kiwanja kwa njia za mikato ukataka kumpateli kijana anaitwa Zakaria Mathias alikua anajitafuta Tunduma.

Majirani walikuambiaga mtafute huyo kijana uthibitishe kama kweli alishauza eneo lake kwa mzee Kumbuka Zame, ukaamini maneno ya wazee wa serikali ya mtaa
Bado utapeli upo kwa nini huyo mzee auze kiwanja ambacho sio chake. Katoa angalizo yupo sahihi.
 
Ndugu huyo kaja kwa kukurupuka ila kikubwa hapa tulikuwa tunapeana changamoto tu katika utafutaji mana huyo mleta mada anauza mali yake ili afanye anachojua na ndio kaona ni sehem ya kutoa taarifa na mm nikatoa hoja ninafsi ya changamoto za hayo maeneeo na huyo popoma yeye kaona aje kuita watu matapeli ndio mwisho wa akili yake hiyo ila kama kwel yeye anjuwa hayo maeneo vizur atueleze hapo kuna kesi ngapi za kuuzwa maeneo mala mbili au tatu je balaza la arhi ofisi ya kijiji wana hatua gan wanzichukua kuondo hilo tatizo mana wao
 
Hakuna ulichokosea mkuu umefanya vizuri tuchukue tahadhari huyo atakua bado analelewa hajui uchungu wa pesa.
 
Uchungu ataupata wap na yeye kitu cha mana kula na kukaa katika nyumba ya ukoo nafuuu kwake namshaur atafute vyake aone akipotza kwa uzembe na manuufaa ya watu wengine atajibu ujinga wake mpuuzi huo
 
Ulitaka kumtapeli Zakaria Mathias kiwanja chake, mambo yakabumburuka qumamae.

Sijui ulidhani mshikaji alishafariki?
Maana na yeye alizamiaga Mozambique kitambo, basi ukajua umeokota dodo.
 
Huyo bwana wako unayemtaja anatumia jina gani hapo?vipi utaendeleza shobo tena?sitokuwa na muda wa kukujibu mtoto wa haramu tatizo zililianzia kwa mama yako aliempa baba mtoto sio wake ndio mana hukufata tabia njema paka ww
 
Attachments

  • IMG_20241001_183046_892.jpg
    IMG_20241001_183046_892.jpg
    384.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom