Plot4Sale Eneo linauzwa lipo chanika nyeburu

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Eneo linauzwa.
Ni robo hekari.
Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo...
Lipo Chanika Nyeburu.
Bei ni million 30.
Halina udalali ...
0620593714

Your browser is not able to display this video.
 
Eneo linauzwa.
Ni robo hekari.
Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo...
Lipo Chanika Nyeburu.
Bei ni million 30.
Halina udalali ...
0620593714

View attachment 2334114
... Chanika robo eka (kama ni robo eka kweli) haijafikia thamani ya 30m/- boss! Review your price if you are serious.
 
Eneo linauzwa.
Ni robo hekari.
Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo...
Lipo Chanika Nyeburu.
Bei ni million 30.
Halina udalali ...
0620593714

View attachment 2334114

Tunajua unataka hela ila fanya evaluation upya
Chanika robo hekari inawezaje kuuzwa 30M?
 
jamani nyie mbona mnaniongezea stress
 
... Chanika robo eka (kama ni robo eka kweli) haijafikia thamani ya 30m/- boss! Review your price if you are serious.
Maelewano yapo boss lakini eneo lipp barabarani...
Siyo kijijini ujue
 
Eka sawa na sqm 4046. Nusu 2023. Robo 1011.5. Sasa robo eka ambayo ni kama mita 31 kwa mita 31. Bei hiyo ni kubwa sana hata kama kipo barabarani.
 
Eka sawa na sqm 4046. Nusu 2023. Robo 1011.5. Sasa robo eka ambayo ni kama mita 31 kwa mita 31. Bei hiyo ni kubwa sana hata kama kipo barabarani.
... uko sahihi. Mbezi Beach au Msasani the same size kuuzwa even 300m/= ni sawa. Chanika kwa 30m/= bado bado.
 
... uko sahihi. Mbezi Beach au Msasani the same size kuuzwa even 300m/= ni sawa. Chanika kwa 30m/= bado bado.
Kwa hiyo tuuze sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…