Eneo la kutosha linauzwa,lipo MBEZI-LUIS,mkoa wa DAR ES SALAAM,WILAYA YA KINONDONI,KATA YA MBEZI.Tuwasiliane kwa 0713-507181 au email adres diccky4@ovi.com
Mkuu ni vizuri kuweka taarifa za kutosha ili kuepuka wanajamvi kukuignore kwa kukosa info stahiki;-
-weka size ya kiwanja.
-kimepimwa au la
-kama kimepimwa kina doc ipi aidha hati au ofa.
-Lipo karibu na nini mathalani umbali toka Morogoro Road ama eneo lolote maarufu as a reference point.
-wewe ni nani kwa hilo eneo mathalani mwenye mali au midman n.k
-Unaweza kutupia japo picha
-bei ya kiwanja ni ngapi,
Hiyo inasaidia mtu kujua kama kilichopo kinakidhi mahitaji yake au la,na kuona umuhimu wa kupiga simu au kukupm.
Jitahidi kwa hayo machache mkuu.