Plot4Sale Eneo linauzwa Makambako

Plot4Sale Eneo linauzwa Makambako

umucyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
847
Reaction score
714
Ndugu wa Wana Jamii forams, habarini za za Leo?

Kama nilivyo taja hapo juu , eneo liko Makambako. Km 12 Toka stand kuu y a Makambako.
km 4toka barabara ya kuelekea Songea.

Ukubwa acre 4
Bei @1,000,000tsh/=
Eneo linafaa kwa kufuga
Na kilimo cha mda mfupi.
Linaweza kutumika kwa kukata viwanja.

Wasiliana na mhusika kwa
Namba 0747834450/0683277204
 
Ndugu wa Wana Jamii forams, habarini za za Leo?

Kama nilivyo taja hapo juu , eneo liko Makambako. Km 12 Toka stand kuu y a Makambako.
km 4toka barabara ya songeya.

Ukubwa acre 4
Bei @1,000,000
Eneo linafaa kwa kufuga
Na kilimo cha mda mfupi.
Linaweza kutumika kwa kukata viwanja.

Wasiliana na mhusika kwa
Namba 0747834450/0683277204
Songeya ndio wapi huko Tena wakulungwa?
 
Songeya ndio wapi huko Tena wakulungwa?
Karibu uchukue eneo, kwa Bei nafuu . Hautojuta mkuu. Eneo ni rafiki kwa mifugo pia unaweza kulima parachichi.umeme na maji vinapatikana jirani kabisa.
 
Karibu uchukue eneo, kwa Bei nafuu . Hautojuta mkuu. Eneo ni rafiki kwa mifugo pia unaweza kulima parachichi.umeme na maji vinapatikana jirani kabisa.
Kms 14 kutoka makambako stand... kms nne toka lami ya songea halafu eka 1M? You could be sick.
 
Halafu hata picha ya hilo shamba lenyewe anaogopa kuweka!
Tate Mkuu, picha siogopi kuweka hapa.
Sema tu sikujua kama ni kiambatanisho MHIMU. Hata hivyo nitaiweka mkuu.
Karibu kama una swali.
 
Tate Mkuu, picha siogopi kuweka hapa.
Sema tu sikujua kama ni kiambatanisho MHIMU. Hata hivyo nitaiweka mkuu.
Karibu kama una swali.
Weka sasa na picha faster ili matajiri wa Makambako wachangamkie haraka hilo eneo.
 
Back
Top Bottom