Mkuu mlioni moja Kila moja , kwa zote 4 ,000,000 .karibu kama una swali.Milioni moja kwa kila ekari au shamba zima?
Songeya ndio wapi huko Tena wakulungwa?Ndugu wa Wana Jamii forams, habarini za za Leo?
Kama nilivyo taja hapo juu , eneo liko Makambako. Km 12 Toka stand kuu y a Makambako.
km 4toka barabara ya songeya.
Ukubwa acre 4
Bei @1,000,000
Eneo linafaa kwa kufuga
Na kilimo cha mda mfupi.
Linaweza kutumika kwa kukata viwanja.
Wasiliana na mhusika kwa
Namba 0747834450/0683277204
Mkuu ,nilitaka kuandika Songea, mkoani Ruvuma.Songeya ndio wapi huko Tena wakulungwa?
Karibu uchukue eneo, kwa Bei nafuu . Hautojuta mkuu. Eneo ni rafiki kwa mifugo pia unaweza kulima parachichi.umeme na maji vinapatikana jirani kabisa.Songeya ndio wapi huko Tena wakulungwa?
Kms 14 kutoka makambako stand... kms nne toka lami ya songea halafu eka 1M? You could be sick.Karibu uchukue eneo, kwa Bei nafuu . Hautojuta mkuu. Eneo ni rafiki kwa mifugo pia unaweza kulima parachichi.umeme na maji vinapatikana jirani kabisa.
Halafu hata picha ya hilo shamba lenyewe anaogopa kuweka!Kms 14 kutoka makambako stand... kms nne toka lami ya songea halafu eka 1M? You could be sick.
Tate Mkuu, picha siogopi kuweka hapa.Halafu hata picha ya hilo shamba lenyewe anaogopa kuweka!
Weka sasa na picha faster ili matajiri wa Makambako wachangamkie haraka hilo eneo.Tate Mkuu, picha siogopi kuweka hapa.
Sema tu sikujua kama ni kiambatanisho MHIMU. Hata hivyo nitaiweka mkuu.
Karibu kama una swali.
Mkuu kwanini umewaza.hivyo? Kwani M 1 ni Bei kubwa?Kms 14 kutoka makambako stand... kms nne toka lami ya songea halafu eka 1M? You could be sick.
Ushauli wako naufanyia kazi.Weka sasa na picha faster ili matajiri wa Makambako wachangamkie haraka hilo eneo.