Plot4Sale Eneo linauzwa Malimbe jijini Mwanza

Plot4Sale Eneo linauzwa Malimbe jijini Mwanza

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
479
Reaction score
727
Habari za majukumu wananch!.

kuna mzee mmoja anauza eneo lake alinifata mimi akijua nina mpunga,kumbe siri ya mtungi naijua mwnyewe..
eneo ni tambarare
ukubwa 30m*70m
Bei mil 24.5
location:Mwanza, Malimbe karibu na beach ya havash,jembe ni jembe,samanene inshort eneo ni very potential,mwenye uhitaji tuwasiliane kwa
0767911491*
0615559568
kiwanja kipo mita chache kutoka ziwani,hauhtaji kiyoyozi kupata upepo mzuri
umeme,maji na barabara zipo

kwa atakae kuwa interested piga simu yangu ntakudirect ufike kukiona.
 
Nusu hekari kwa milioni 24 Mwanza tena beach,ngoja nakutumia kwa mpesa
 
Sasa wewe ni nani katka biashara hii.
Dalali ?
Mpambe wa Mzee ?
Macho kuona?
Mtoa taarifa , ili jamii ijue ?
Muepele?
Mkuda?
Mkwamisha biashara?
 
Back
Top Bottom