Habari za majukumu wananch!.
kuna mzee mmoja anauza eneo lake alinifata mimi akijua nina mpunga,kumbe siri ya mtungi naijua mwnyewe..
eneo ni tambarare
ukubwa 30m*70m
Bei mil 24.5
location:Mwanza, Malimbe karibu na beach ya havash,jembe ni jembe,samanene inshort eneo ni very potential,mwenye uhitaji tuwasiliane kwa
0767911491*
0615559568
kiwanja kipo mita chache kutoka ziwani,hauhtaji kiyoyozi kupata upepo mzuri
umeme,maji na barabara zipo
kwa atakae kuwa interested piga simu yangu ntakudirect ufike kukiona.