Plot4Sale Eneo linauzwa Manzese Argentina

Plot4Sale Eneo linauzwa Manzese Argentina

Joined
Oct 20, 2019
Posts
41
Reaction score
55
Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina
Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote
Bei 400ml maongezi yapo
kwa maelezo zaidi What's up number
+255628891673


Karibuni
 
Hiyo nyumba hapo pembeni yenye hilo tangazo la mganga wa Kienyeji ndiyo anaishi mwenye nyumba??
 
Back
Top Bottom