Plot4Sale Eneo linauzwa Morogoro KM 25 kutoka Msamvu stendi kuelekea Iringa

Haji Mashaka Nassoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
384
Reaction score
850
Kwa mara nyingine eneo lenye ukubwa wa heka 20 linauzwa Morogoro ni umbali wa km 25 toka Msamvu kuelekea Iringa pembeni ya highway upande wa kulia nguzo za umeme zipo jirani bei milioni 60.

Maongezi kamakawaida piga simu 0713 313 200 hakuna dalali hapo.

 

Attachments

  • IMG_20231023_180733_582.jpg
    119 KB · Views: 6
Lipo karibu na bwawa la Mindu?, nahitaji mandhari ya ufukwe Fulani!
 


Ama kweli nchi imejaaliwa hii. Yaani bei ya ekari moja ni sh milioni 2 na laki 4 tu (2,400,000) !!!!?

Halafu kuna majinga yanadanga, yanabet na kucheza pool yakidai eti Tanzania hakuna ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…