EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Jamani nina shida nauza eneo langu likiwa na nyumba ndogo yenye chumba cha kulala sebure na jiko ipo jirani na project ya standard gauge soga project bei ni 2,500,000 eneo kuna makazi ya watu linafaa kwa kuishi,ufugaji umeme upo jirani kufika hapo
Maongezi yapo. Eneo ni tambarale hakuna milima ukubwa ni nusu heka kuhusu kupiwa tumeshalipia kwa mtendaji malipo kwaajili ya maandalizi ya kupima rist ipo pia naweza kukupeleka kwa mtendaji ukajiridhisha.
Nitext au piga 0759 890 889
Dsm tz.