Plot4Sale Eneo linauzwa Tabata Bima opposite na Chuo cha St. Mary's

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
961
Reaction score
1,380
Eneo linauzwa lipo maeneo ya Tabata bima linatazamana na St.Mary's Teachers College.
Ukubwa ni sqf 8000, eneo lipo bararani kabisa .All relevants documents ziko available (sio ya urithi ni owner wa property ndie anayeuza).....eneo linafaa kwa both residential na commercial uses as ni eneo lililokwisha endelea na linafaa kwa investments kama Hostels, hotels, apartments, offices.
Bei ni Million 260
Maongezi yapo ndugu Karibu sana! Usihofu kwa hizo gharama!
Kwa mawasiliano +255 717 246 284
tapatalk_1536839695924.jpeg
tapatalk_1536839698767.jpeg
tapatalk_1536839701612.jpeg
tapatalk_1536839704893.jpeg
tapatalk_1536839708268.jpeg
tapatalk_1536839710935.jpeg
tapatalk_1536839713685.jpeg
tapatalk_1536839716541.jpeg
 
Attachments

  • tapatalk_1536839695924.jpeg
    tapatalk_1536839695924.jpeg
    57.5 KB · Views: 48
  • tapatalk_1536839716541.jpeg
    tapatalk_1536839716541.jpeg
    50.9 KB · Views: 49
  • tapatalk_1536839713685.jpeg
    tapatalk_1536839713685.jpeg
    55.2 KB · Views: 51
  • tapatalk_1536839710935.jpeg
    tapatalk_1536839710935.jpeg
    42.4 KB · Views: 53
  • tapatalk_1536839708268.jpeg
    tapatalk_1536839708268.jpeg
    37.7 KB · Views: 49
Ikiwa na maana unauza sqf 1 kwa 32500 yaani sqm unauza kwa 325,000
Mkuu em fikiria kidogo tena bei yako
 
Eneo linauzwa lipo maeneo ya Tabata bima linatazamana na St.Mary's Teachers College.
Ukubwa ni sqf 8000, eneo lipo bararani kabisa .All relevants documents ziko available (sio ya urithi ni owner wa property ndie anayeuza).....eneo linafaa kwa both residential na commercial uses as ni eneo lililokwisha endelea na linafaa kwa investments kama Hostels, hotels, apartments, offices.
Bei ni Million 260
Kwa mawasiliano +255 717 246 284View attachment 865083View attachment 865084View attachment 865085View attachment 865086View attachment 865087View attachment 865088View attachment 865089View attachment 865090
Najua nipasuli kiabiashara ila 260m nisawa $120,000 hapa Johannesburg unapata nyumba nzuri tu.....kwa Dar sijui wapi nilitegemea kua chini kdgo
 
Ikiwa na maana unauza sqf 1 kwa 32500 yaani sqm unauza kwa 325,000
Mkuu em fikiria kidogo tena bei yako
Inategemea na Value ya eneo na mahitaji ya eneo husika,kuna chuo cha ualimu pia documents zote zipo,na hapa nimepunguza bei ukilinganisha na bei zinazouzwa nyumba au plot za karibu yangu
 
Najua nipasuli kiabiashara ila 260m nisawa $120,000 hapa Johannesburg unapata nyumba nzuri tu.....kwa Dar sijui wapi nilitegemea kua chini kdgo
Thamani ya eneo hilo ndio hiyo ndugu,tena hapa nimepunguza bei kutokana na nahiitaji pesa kwa haraka
 
Maongezi yapo ndugu Karibu sana! Usihofu kwa hizo gharama!
 
Eneo linauzwa lipo maeneo ya Tabata bima linatazamana na St.Mary's Teachers College.
Ukubwa ni sqf 8000, eneo lipo bararani kabisa .All relevants documents ziko available (sio ya urithi ni owner wa property ndie anayeuza).....eneo linafaa kwa both residential na commercial uses as ni eneo lililokwisha endelea na linafaa kwa investments kama Hostels, hotels, apartments, offices.
Bei ni Million 260
Maongezi yapo ndugu Karibu sana! Usihofu kwa hizo gharama!
Kwa mawasiliano +255 717 246 284

Picha zipo [emoji115]
 
Inategemea na Value ya eneo na mahitaji ya eneo husika,kuna chuo cha ualimu pia documents zote zipo,na hapa nimepunguza bei ukilinganisha na bei zinazouzwa nyumba au plot za karibu yangu
Kua na chuo cha ualimu na documents zote kuwepo hakufanyi thamani ya eneo kuongezeka usikute unaweza bei kutokana na pesa unazozihitaji hapo nina uhakika hakuna valuer aliekuja kuthaminisha eneo hilo
 
Back
Top Bottom