Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
Poa
Vigwaza tunanunua acre moja laki sita wewe unata utuuzie kwa milioni tatu ?Eneo lipo vigwanza njia ya kwenda bandari kavu kwala,zipo eka mbili,Kila eka moja milioni tatu,mita chache kutoka barabara ya kwenda bandarini,linafaa kwa makazi,kuweka godown kwa ajili ya mizigo inayotoka bandarini,kiwanda n.k
Mawasiliano: 0693786080View attachment 1619951View attachment 1619951
Unajua Ni vigwaza sehemu gani kwanza na Mara ya mwisho kwenda lini,ndani ndani uko buyuni kwa mbele ndo Bei hiyoVigwaza tunanunua acre moja laki sita wewe unata utuuzie kwa milioni tatu ?
Mita chache kutoka main road ya kwenda kwala kwenye bandari kavu,la pembeni ya morogoro road pale mizani pia lipo,Kama uko interested nikutumie ramani yake ulione na picha
Hapana mkuu,ongeza ongezaOngeza picha
Mimi yatima kula 2m kwa eka zote mbili.
Kama kiko barabarani sawa kwa bei hiyo.Unajua Ni vigwaza sehemu gani kwanza na Mara ya mwisho kwenda lini,ndani ndani uko buyuni kwa mbele ndo Bei hiyo
ndioKama kiko barabarani sawa kwa bei hiyo.