M mimimnyenyekevu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 737 Reaction score 1,002 Nov 14, 2023 #1 Eneo kubwa na zuri linauzwa pamoja na nyumba yake. Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21. Ndani ya eneo kuna nyumba yenye vyumba vinne,viwili ni master na vingine ni vya kawaida,sebule kubwa pia na dining nzuri. Vyote hivi vinapatikana Kibaha kwa Mfipa kwa bei ya shilingi milioni sitini na Tano tu(65000000).Unakosaje Sasa ofa hii?? Piga simu no 0698235368. Karibuni sana.
Eneo kubwa na zuri linauzwa pamoja na nyumba yake. Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21. Ndani ya eneo kuna nyumba yenye vyumba vinne,viwili ni master na vingine ni vya kawaida,sebule kubwa pia na dining nzuri. Vyote hivi vinapatikana Kibaha kwa Mfipa kwa bei ya shilingi milioni sitini na Tano tu(65000000).Unakosaje Sasa ofa hii?? Piga simu no 0698235368. Karibuni sana.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Nov 16, 2023 #2 MTU chake bhana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 16, 2023 #3 Ahsante kwa taarifa...
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,407 Reaction score 5,418 Nov 16, 2023 #4 kawombe said: MTU chake bhana Click to expand... Kabisa.