Plot4Sale Eneo ukubwa wa nusu eka linauzwa Mkuranga, Pwani

Plot4Sale Eneo ukubwa wa nusu eka linauzwa Mkuranga, Pwani

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
186
Reaction score
66
Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami.
Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache.

Eneo lina miti mbalimbali kama:
1. Minazi (20)na michikichi-imepandwa pembezoni kama fensi
2. Miembe 6(embe dodo 3,embe za kawaida 3)
3. Miparachichi5
4. Mikorosho3
5.Mistafeli 8
6. Mdimu 1
7. Mananasi
8. Mipesheni

Bei ni shilingi milioni 20. Kwa mawasiliano na mazungumzo zaidi piga: 0685381338 (mmiliki).
 

Attachments

  • 0E1FF6F3-ADE8-4F32-9432-57E429B09C63.jpeg
    0E1FF6F3-ADE8-4F32-9432-57E429B09C63.jpeg
    1.4 MB · Views: 8
  • E2BCB071-1DCB-4823-AC1B-B63C3E6D5804.jpeg
    E2BCB071-1DCB-4823-AC1B-B63C3E6D5804.jpeg
    1.1 MB · Views: 7
  • CDC32A37-63C4-4635-81B8-822B4F205924.jpeg
    CDC32A37-63C4-4635-81B8-822B4F205924.jpeg
    1.2 MB · Views: 8
Back
Top Bottom