ntakisigae
Senior Member
- Nov 26, 2013
- 186
- 66
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22.
Eneo liko karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni(beach).
Ni panafaa sana kibiashara,hasa kujenga maduka,mbagala nk.Umeme upo jirani,umbali wa nguzo moja na panafika kirahisi
Eneo liko karibu na kiwanda cha saruji(sementi) cha Lake Cement na panachangamka sana kwa ujenzi mkubwa na mdogo.
Bei ni milioni5.Maongezi yapo,dalali hatakiwi!
Mawasiliano:0657011122.