Eneo zuri la kilimo kati ya Kibaha na Mkuranga

David kagenzi

Member
Joined
Nov 20, 2023
Posts
10
Reaction score
14
Jamani habari za wakati huu, hivi naomba kuulizia kuhusu maeneo haya mawili, MKURANGA na KIBAHA vipi eneo zuri kwa kilimo, kuna uwepo wa maji kwa ajili ya umwagiliaji, and more accesible zaidi.

Lakini naomba kujua hali ya hewa ya maeneo hayo kama kuna mu anayafahamu vizuri maeneo hayo
 
Nenda mkuranga mkuu
 
Back
Top Bottom