Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

bikola

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Wanajamvi.

Eneo zuri la bar lina kighorofa linakodishwa maeneo ya makumbusho. wasiliana na dalali no 0714355068
 
pamoja hujatuonyesha picha, eneo liko tayari kwa biashara au ni kiwanja tu. kodi kiasi gani?
 
pamoja hujatuonyesha picha, eneo liko tayari kwa biashara au ni kiwanja tu. kodi kiasi gani?

ukitaka kuwekeza kwenye vinywaji peke yake au jiko peke yake kodi tsh 200,000 kwa hilo chaguo.
 
Picha ingekuwa ni muhimu zaidi kodi inajumuisha vitu gani vilivyopo au n jengo tupu fafanua
 
makumbusho ipi mkuu, naona kama unanivutia, sipo dar kwa sasa ukitupia picha itapendeza zaidi mkuu.
 
Weka picha ya hicho kighorofa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…