Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
Chang'ombe vibaka wengi sanaChang'ombe Extension na Makulu.
Kwa sehemu nzuri kwa ajiri ya biashara kwa sasa ni nzuguni, kisasa sheri(lakini ngumu sana kupata kiwanja kwa sasa) pia mnada mpya, chidachi, hizi ni sehemu zinazoendelea sana kwa sasa pia watu Wengi Huko ni washuaNdgu zangu naombeni munisaidie kitu
mimi nipo Arusha nataka niende kujenga Dodoma nyumba moja na eneo jengine maduka
Naombeni ushauri wenu ni maeneo gani yapo vzuri zaidi kwa biashara na makazi
sihitaji uswahilini just kuwe normal tu
Du mkuu hujauzaga!Mimi nina eneo liko wilaya ya bahi, kijiji cha Ibihwa ni nusu eka naliuza kwa sh laki nne tu
Mimi nina eneo liko wilaya ya Bahi, kijiji cha Ibihwa ni nusu eka naliuza kwa sh laki nne tu
Kabisa mkuu hapo maeneo ya kuangalia ni mtumba mji wa kiserKali, kikombo ihumwa for the future Lakin kwa sasa ni kisasa, ilazo, nzuguni, ipagala, makuru kuna demand kubwa sana kwa ajiri ya chuo cha udom hayo ni maeneo mazuri sana kwa investment za town.Huko Bahi utatusamehe tu. Sisi tunataka tubanane pale pale JIJINI.
Mkuu...Ndgu zangu naombeni munisaidie kitu
mimi nipo Arusha nataka niende kujenga Dodoma nyumba moja na eneo jengine maduka
Naombeni ushauri wenu ni maeneo gani yapo vzuri zaidi kwa biashara na makazi
sihitaji uswahilini just kuwe normal tu