Plot4Sale Eneo zuri linauzwa kibaigwa Dodoma

Plot4Sale Eneo zuri linauzwa kibaigwa Dodoma

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
107
Reaction score
65
Wanabodi amani iwe kwenu. Kuna eneo ( Plot) zuri sana liauzwa. Lipo mji wa Kibaigwa Dodoma.

1. Lina ukubwa wa heka 7
2. Lipo pembezoni mwa barabara ya Dodoma-Dar
3. Limepimwa na lina hati miliki
4. Zipo plot 3 kwenye eneo lote
5. Linafaa kwa matumizi ya shell, chuo, shule au Hotel.
6. Bei ni tsh million 150 lote. Maongezi kidogo yapo.
7. Hata ukitaka plot 1 unauziwa.

Kwa mawasiliano njoo PM. Au piga namba 0757399090
Asanteni
 

Attachments

  • IMG-20180113-WA0006.jpg
    IMG-20180113-WA0006.jpg
    33.7 KB · Views: 65
  • IMG-20180113-WA0003.jpg
    IMG-20180113-WA0003.jpg
    10.2 KB · Views: 61
  • IMG-20180113-WA0001.jpg
    IMG-20180113-WA0001.jpg
    28.3 KB · Views: 63
  • IMG-20180113-WA0004.jpg
    IMG-20180113-WA0004.jpg
    8.1 KB · Views: 60
Ukubwa wa viwanja vitatu 150M?
Acha utani na vyuma vinavyopasuka huoni hata grease haifai tena!!

Mkuu labda 50M vyote vitatu.
 
Ukubwa wa viwanja vitatu 150M?
Acha utani na vyuma vinavyopasuka huoni hata grease haifai tena!!

Mkuu labda 50M vyote vitatu.

Mkuu njoo inbox kama upo serious. 50M hapana. Hapo kwa was tani kila plot 1 ina 10000sqm. Na umeona barabarani hapo kabisa.

Kibaigwa ni mjI unakuwa na uko very potential. U
po katikati ya will aya 2. So uwekezaji wa hapo utalipa. Plot zipo kwenye prime location. Karibu
 
Wakuu eneo bado Lipo. Karibu inbox au piga hizo namba tuzungumze
 
Plots zipo close to barabara... tena barabara ya mita 125 kila upande tokea Dar mpka Mwanza... alafu bei ni hiyo... haiwezi kuwa...

hilo eneo lipo kibaigwa sehemu gani? wilaya hizo mbili ni zipi... Gairo na Kibaigwa au na Mpwapwa...
 
sisi tunao taka kununua... tunaomba coordinates zake ili tukiongea tuongee biashara kweli... maana kwasasa naona kuna malue lue mkuu... naomba hizo references ili nitoe tongo tongo ndipo nije... kwa uhakika zaidi.... maana hiyo barabara imenitisha sanaaaa....
 
sisi tunao taka kununua... tunaomba coordinates zake ili tukiongea tuongee biashara kweli... maana kwasasa naona kuna malue lue mkuu... naomba hizo references ili nitoe tongo tongo ndipo nije... kwa uhakika zaidi.... maana hiyo barabara imenitisha sanaaaa....

Barabara isikutishe kiongozi. Eneo Lipo nje ya road reserve kabisa. Wilaya ni Gairo na Kong wa. Mpwapwa yes ni wilaya ya Dodoma lakini ipo mbali kidogo. Karibu inbox coordinates na specific details tutashare. Eneo bado Lipo karibuni wadau Cc Chillah
 
kuuza kiwanja barabarani ni hatari kwa mtu atakaye wekeza pesa zake... ndio maana ni ngumu sana mtu kuja kuuliza bei kwa kujadilian pungufu... coordinates nazo una taka tuku PM... wakati tangazo umeweka hapa wazi wazi kila mtu ana ona...

na bei uliyo iweka kwa hekali ni kubwa mno hata kama kiwanja kime pimwa... wakati huku mjini kwenyewe dodoma... au karibu na mjini kabisa watu wana weza pata maeneo kwa gharama nafuu zaidi au mara dufu tofauti na uliyo iweka

iyo pesa nakushauri nenda kaombe mkopo bank labda watakupa hiko kiasi kuliko kuangaika hapa... ni ngumu kwa sasa na hii January na huo ukaribu na barabara... hata kama mawe yapo ya barabara... lakini kuna sheria yao ya uvunjaji na wame wavunjia walio katk road ya kwenda kwa mkulu.... mwanza
 
Tatizo la wauza viwanja ndo hilo, hua sio wakweli kwenye bei. Hayo mazungumzo unayosema yapo ungeyazungumza kabisa kwenye uzi wako halafu utuambie bei baada ya hayo mazungumzo yako.

Eneo zuri lakini watu ukiwajia ovyo wataurudia uzi baada ya miezi mi4 utakua na "adabu ya bei"
 
Back
Top Bottom