"Energy Drinks" zinasababisha Shambulio la Moyo

"Energy Drinks" zinasababisha Shambulio la Moyo

Quimica

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,036
Reaction score
1,286
Habari wana JamiiForums,

Research study iliyofanywa na wasomi wa afya ya jamii imeonyesha kuwa vinywaji vya energy drink vinasababisha damu ishindwe kufika kwenye moyo (acute myorcardial infarction) inayosababisha shambulio la moyo (heart attack) ambapo upelekea kifo.

Tuendeleee kulinda afya zetu, atleast utumie moja kwa week au uache kabisa.

status_me_status_IMG-20230423-WA0047.jpg
 
Pamoja na redbull? 🙆‍♀️
Mimi naona one time one time ndo vizuri Mfano Mimi Mo energy nilikuwa nakunywa kipindi nafanya mitihani tu ili kuua usingizi

Lakin huku huwezi kuwatenganisha vijana mo extra na dabo Kiki.
 
Habari wana JamiiForums,

Research study iliyofanywa na wasomi wa afya ya jamii imeonyesha kuwa vinywaji vya energy drink vinasababisha damu ishindwe kufika kwenye moyo (acute myorcardial infarction) inayosababisha shambulio la moyo (heart attack) ambapo upelekea kifo.

Tuendeleee kulinda afya zetu, atleast utumie moja kwa week au uache kabisa.

View attachment 2597001
Huyu alitumia tano ni mgonjwa aliyepelekwa Jakaya Cardiac (JKCI) wapo wengi kama hawa kwenye jamii zetu
255782068822_status_a301d58841384c9db4c6bc84b12f6143.jpg
 
Mie huwa nakunywa nikiwa na kazi maalum inayohitaji concentration na long working hours eg. Saa mbili hadi sita usiku bila mapumnziko ukiondoa mda wa kula.
 
Hiyo kitu Ukiichanganya na Value kuna utamu wake na ulewaji wake..[emoji41]
 
Back
Top Bottom