πππππsa itakuajePamoja na redbull? πββοΈ
Kula vizuri upate nguvu kutokana na chakula asili sio energy.πππππsa itakuaje
Iyo ya kishua. Tatizo hivi vidude vya kwenye vichupa vya plastic.Pamoja na redbull? πββοΈ
Mimi naona one time one time ndo vizuri Mfano Mimi Mo energy nilikuwa nakunywa kipindi nafanya mitihani tu ili kuua usingiziPamoja na redbull? πββοΈ
Huyu alitumia tano ni mgonjwa aliyepelekwa Jakaya Cardiac (JKCI) wapo wengi kama hawa kwenye jamii zetuHabari wana JamiiForums,
Research study iliyofanywa na wasomi wa afya ya jamii imeonyesha kuwa vinywaji vya energy drink vinasababisha damu ishindwe kufika kwenye moyo (acute myorcardial infarction) inayosababisha shambulio la moyo (heart attack) ambapo upelekea kifo.
Tuendeleee kulinda afya zetu, atleast utumie moja kwa week au uache kabisa.
View attachment 2597001
Tutazimua na nini jamaniπππππsa itakuaje