Eng. Hers: Wanayanga na mashabiki niwatoe wasiwasi Kocha Nabi bado yupo na ataendelea kuwepo Yanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425

Rais wa Yanga (Eng. Hers) kupitia kituo Cha radio wasafi FM alizungumzia suala la kocha Nabi kuwepo Yanga.

"Kocha Nabi yupo sana mtoto wake ambaye anamsimamia tulikuwepo nae kwenye mechi ya Algeria ni kweli mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni"

"Msimamizi wake atakuja (Tanzania) kwa ajili ya kumalizana nae, Ni kocha Bora sana Yanga bado inahitaji huduma yake."

"Mama Samia suluhu anataka Simba na Yanga zifanye vizuri katika michuano hii siyo kuleta majungu sisi kwa sisi"

"Kwa Heshima na taadhima kwa Mh Raisi tumemuandalia medali kwa kweli ametuhamasisha sana hii medali ni kwa ajili ya Mh Raisi"

"Tutakua tunaugumu kuruhusu wachezaji wetu wazuri kuondoka (kuwauza)"

"Tulimuandikia Barua Feisal arudi lakini hakurudi, viongozi wengi walimfuata lakini hakurudi ni kiwemo mimi na makamo wangu lakini hakutaka kurudi kabisa"

"Zile sauti zilizovuja kuhusu feisali Mimi binafsi naheshimu vyombo vya habari lakini kutokana na Hilo naiacha public ndiyo iamue"

"Mimi binafsi Sina shida yoyote na Feisali kabisa nimeshangaa sana kwa alichokisema kuwa Mimi Nina shida nae"

"Naapa mbele ya mwenyezi mungu Sina tofauti zozote binafsi na feisal Salumu"

"Yanga ni best club in Tanzania na ndiyo best club in East Africa hakuna anayetukuta kwa hiyo watu wajifunze kutoka kwetu kwa kile tunachojifunza"

"Waje wajifunze namna gani wachezaji wazuri wanapatikana, namna gani tunacheza kwenye pichi"

"Mfumo wa uendeshaje wa club tunawaomba waje kujifunza (timu nyingine)

"Pia waje kujifunza namna ya kuwaamini vijana (wazawa) katika kuwapa nafasi"

"Nitakua muongo kusema kuwa kikosi hiki Cha Yanga kilichofika fainali kinathamani ya shilingi ngapi??"

"Fujo zilizofanyika Algeria hazina baraka ya serikali yao Wala CAF sisi Kama sisi tumeandika malalamiko kwenda CAF na vizuri viongozi wakubwa walikuwepo pale kutoka CAF"

Eng. Hers kupitia wasafi FM radio.
1682312048857.jpg
 
"siwezi kusema thamani ya mchezaji hapa lakini mikataba ya wachezaji inabeba thamani kubwa sana"
 
"msimu huu yanga imesajili wachezaji wazawa wawili tu Metacha na Mudathri kiukweli Tanzania haijatengeneza wachezaji wazawa"
 
"program yangu ilikuwa kuiweka timu katika matokeo mazuri lakini pia kinachofuata ni kufanya football development kuwapika vijana na tutaleta wataalamu kabisa ili kufanikisha Jambo hili ( timu ya vijana)"
 
"mchezaji akifanya vizuri ataongezwa masilahi lakini mchezaji akifanya vibaya pia milango ipo wazi"
 
Rais wa Yanga (Eng. Hers) kupitia kituo Cha radio wasafi FM alizungumzia suala la kocha Nabi kuwepo Yanga.

"Kocha Nabi yupo sana mtoto wake ambaye anamsimamia tulikuwepo nae kwenye mechi ya Algeria ni kweli mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni"

"Msimamizi wake atakuja (Tanzania) kwa ajili ya kumalizana nae, Ni kocha Bora sana Yanga bado inahitaji huduma yake."

"Mama Samia suluhu anataka Simba na Yanga zifanye vizuri katika michuano hii siyo kuleta majungu sisi kwa sisi"

"Kwa Heshima na taadhima kwa Mh Raisi tumemuandalia medali kwa kweli ametuhamasisha sana hii medali ni kwa ajili ya Mh Raisi"

"Tutakua tunaugumu kuruhusu wachezaji wetu wazuri kuondoka (kuwauza)"

"Tulimuandikia Barua Feisal arudi lakini hakurudi, viongozi wengi walimfuata lakini hakurudi ni kiwemo mimi na makamo wangu lakini hakutaka kurudi kabisa"

"Zile sauti zilizovuja kuhusu feisali Mimi binafsi naheshimu vyombo vya habari lakini kutokana na Hilo naiacha public ndiyo iamue"

"Mimi binafsi Sina shida yoyote na Feisali kabisa nimeshangaa sana kwa alichokisema kuwa Mimi Nina shida nae"

"Naapa mbele ya mwenyezi mungu Sina tofauti zozote binafsi na feisal Salumu"

"Yanga ni best club in Tanzania na ndiyo best club in East Africa hakuna anayetukuta kwa hiyo watu wajifunze kutoka kwetu kwa kile tunachojifunza"

"Waje wajifunze namna gani wachezaji wazuri wanapatikana, namna gani tunacheza kwenye pichi"

"Mfumo wa uendeshaje wa club tunawaomba waje kujifunza (timu nyingine)

"Pia waje kujifunza namna ya kuwaamini vijana (wazawa) katika kuwapa nafasi"

"Nitakua muongo kusema kuwa kikosi hiki Cha Yanga kilichofika fainali kinathamani ya shilingi ngapi??"

"Fujo zilizofanyika Algeria hazina baraka ya serikali yao Wala CAF sisi Kama sisi tumeandika malalamiko kwenda CAF na vizuri viongozi wakubwa walikuwepo pale kutoka CAF"

Eng. Hers kupitia wasafi FM radio.View attachment 2646513

Ktk vitu vyote nilivyotaka kuvisikia basi hili ndio la kwanza la Nabi kubaki Yanga.
 
Namshangaa Hersi anasema hana shida na Feisal, wakati anajua kwenye mkataba wao kuna kipengele kinachomruhusu Fei kuondoka Yanga, ikiwa kiasi fulani cha pesa kikilipwa kama alivyodai Fatma Karume, nao Yanga hawajawahi kukanusha hili popote.

Na anasema kabisa anaapa mbele ya "mwenyezi mungu", hapana, nasema huyo "mungu" wake mimi simjui.
 
Hana shida binafsi na Feisal (yaani ugomvi wowote baina yake na yeye)
 
Rais wa Yanga (Eng. Hers) kupitia kituo Cha radio wasafi FM alizungumzia suala la kocha Nabi kuwepo Yanga.

"Kocha Nabi yupo sana mtoto wake ambaye anamsimamia tulikuwepo nae kwenye mechi ya Algeria ni kweli mkataba wake ulikua unaelekea ukingoni"

"Msimamizi wake atakuja (Tanzania) kwa ajili ya kumalizana nae, Ni kocha Bora sana Yanga bado inahitaji huduma yake."

"Mama Samia suluhu anataka Simba na Yanga zifanye vizuri katika michuano hii siyo kuleta majungu sisi kwa sisi"

"Kwa Heshima na taadhima kwa Mh Raisi tumemuandalia medali kwa kweli ametuhamasisha sana hii medali ni kwa ajili ya Mh Raisi"

"Tutakua tunaugumu kuruhusu wachezaji wetu wazuri kuondoka (kuwauza)"

"Tulimuandikia Barua Feisal arudi lakini hakurudi, viongozi wengi walimfuata lakini hakurudi ni kiwemo mimi na makamo wangu lakini hakutaka kurudi kabisa"

"Zile sauti zilizovuja kuhusu feisali Mimi binafsi naheshimu vyombo vya habari lakini kutokana na Hilo naiacha public ndiyo iamue"

"Mimi binafsi Sina shida yoyote na Feisali kabisa nimeshangaa sana kwa alichokisema kuwa Mimi Nina shida nae"

"Naapa mbele ya mwenyezi mungu Sina tofauti zozote binafsi na feisal Salumu"

"Yanga ni best club in Tanzania na ndiyo best club in East Africa hakuna anayetukuta kwa hiyo watu wajifunze kutoka kwetu kwa kile tunachojifunza"

"Waje wajifunze namna gani wachezaji wazuri wanapatikana, namna gani tunacheza kwenye pichi"

"Mfumo wa uendeshaje wa club tunawaomba waje kujifunza (timu nyingine)

"Pia waje kujifunza namna ya kuwaamini vijana (wazawa) katika kuwapa nafasi"

"Nitakua muongo kusema kuwa kikosi hiki Cha Yanga kilichofika fainali kinathamani ya shilingi ngapi??"

"Fujo zilizofanyika Algeria hazina baraka ya serikali yao Wala CAF sisi Kama sisi tumeandika malalamiko kwenda CAF na vizuri viongozi wakubwa walikuwepo pale kutoka CAF"

Eng. Hers kupitia wasafi FM radio.
View attachment 2646513

Kwa hiyo, Bwana hersi., Nabi bado yupo Yanga?
 
Back
Top Bottom