Eng. Hersi apokea tuzo Toka Wizara ya Afya

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hii ndo maana ya timu ya Wananchi....ni mwendo wa tuzo tu

Rais wa Klabu Eng Hersi Said Leo amepokea Tuzo Maalum kutoka kwa Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu kwa kuwa Taasisi ๐ข๐ง๐š๐ฒ๐จ๐ญ๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐š ๐‘๐š๐ฌ๐ฆ๐ข na Wizara ya Afya katika uchangiaji wa damu.

Kwa mwaka 2023 pekee, Young Africans Sports Club Imechangia Chupa 627 za damu

Hii ndio Maana halisi ya ๐“๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐–๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข [emoji109]

NB: Makolo....mnahesabu lakini???[emoji23][emoji23]
 
๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ ๐——๐—ข๐—ก๐—˜

[emoji599]#HEREWEGO Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu rasmi amejiunga na Young Africans Sports Club Kama mwanachama mpya.[emoji1666]

MHE:UMMY MWALIMU IS GREEN ๐ŸŸข n YELLOW ๐ŸŸก

#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko [emoji169][emoji172]
 
wataumia sana
 
Hii nayo muifanyie gwaride ili mpate sababu ya kutoka huko mabondeni mje mjini.
 
Makolo ni Pinga Pinga fc for now! Kila zuri la Yanga wanaponda! Penye uzuri sifieni ndo uungwana!
 
Makolo ni Pinga Pinga fc for now! Kila zuri la Yanga wanaponda! Penye uzuri sifieni ndo uungwana!
Kabisa mkuu..... vijana hawataki kujifunza Kwa wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ