Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

Labda Wewe unakaa mashambani, msemaji wa Yanga ni Ally Kamwe, huyo Manara ni mmsemaji wa Tigo.

Ndio madhara ya kuishi mawilayani unaishia kupata matangazo ya redio za wilaya Mbambamule FM.
 
Kuna kipofu shabiki wa valencia mpaka amejengewa sanamu alikua anaenda kuangalia mpira japokua haoni
 

Attachments

  • 0CDB8226-B861-46B4-A20F-A1F74D984FEA.jpeg
    95.1 KB · Views: 1
Kama akili yake iliyumba amekosa hata washauri kweli? Kweli tumevaa chupi kichwani
Kuna kipofu shabiki wa valencia mpaka amejengewa sanamu alikua anaenda kuangalia mpira japokua haoni
 

Attachments

  • 75C18E11-590E-48F2-BC11-E845C19B8B88.jpeg
    95.1 KB · Views: 1
Bila shaka kawapa mbilimbili maana hilo kundi linahitaji msaidizi kwenye umati mkubwa kama ule.
 
Neno "unyanyapaa" ni neno dogo sana ila lenye maana kubwa sana. Vipofu ni watu kama watu wengine pamoja na kuwa na changamoto za macho ila wanatamani wachangamane kwa mambo mengi kama walivyo wenzao wasio na ulemavu.

Wanatamani kwenda club, kwenda kwenda kwenye tamasha mbalimbali, wanatamani kwenda uwanjani kuambatana na wenzao katika kutoa sapoti kwa timu zao. Watanzania tumeongozwa na fikra za unyanyapaa na ndio maana wengi wameshangaa hili tukio la Hersi kutoa ticket. Hata wao ni binadamu, wanahitaji kufanya mnavyofanya nyie mlio wazima pamoja na ulemavu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…