Eng. Hersi bingwa wa kuvamia shughuli bila mwaliko

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Huyu jamaa shughuli yoyote lazima ajitokeze hata bila mwaliko,

Yanga wameponda weeee African football league hata sasa hivi ila siku ya ufunguzi Rais wa FIFA alipotoka jukwaani akiwa na wenyeji wake Rais wa TFF na Try Again mara Hersi kavamia hapo hapo jamaa hanaga mshipa wa aibu, Fainali ya African football league Africa kusini Yanga walisema amealikwa, mara wanaoruhusiwa kukaa VIP ni washiriki na waheshimiwa wengine jamaa akakaa kwa mashabiki.

Sasa wamekuja na uzushi kwamba alialikwa na PSG cha kushangaza kumbe jamaa kakutana tu Mbape baada ya mazoezi ambacho ni kawaida kwa watu wa kawaida ila Yanga wanaikuza tu wakati hata kwenye mitandao ya kijamii ya PSG hawajapost na hawajui, tuacheni ushamba picha na wachezaji wa kubwa ni kawaida washapiga sana kina Mwana FA, Ommy Dimpoz, Kitenge n.k.

Ila inatia aibu kuvamia shughuli na kuzusha umealikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unateseka ukiwa wapi? Mbape anakwenda mazoezini na medali na kombe?

Uchawi unaanzaga hivihivi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1704390729991.jpg
    51.6 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1704390718879.jpg
    51.2 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1704390699696.jpg
    27.7 KB · Views: 4
Unateseka ukiwa wapi? Mbape anakwenda mazoezini na medali na kombe?

Uchawi unaanzaga hivihivi.
Vilabu vikubwa kama Barcelona viwanja vyao pia vinatumika kwa utalii ,watu wanaruhusiwa kwenda kuangalia mafanikio ya timu, na historia. Kwahiyo tuliza huo mshono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubeli zilipigwa marufuku wameruhusu Visungura unategemea nini?

CCM ndio adui wa nchi yetu kuzalisha vichaa kama hawa.
 
Aibu kwa mtu ambaye ni rais wa club kuvamia vamia shughuli bila mialiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Asha una wivu wa uke wenza😅... Kama unaona kila mtu anaweza vamia kavamie wewe hata shughuli ya mwijaku Kama hukafumuliwa Linda zako!.
 
Pimbi kama pimbi wengine katika ubora wake...........................
 
Kuna harufu ya chuki kwa mbaliii
 
Kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…